Mzee ambaye ametambulika kwa jina moja la Kada akiwa anautengenezea Vizuri mti ambao aliupanda yeye takribani Miezi saba iliyopita eneo la Segerea Stand Mwisho kama alivyokutwa na kamera ya LUKAZA BLOG hapo jana
Hapa akiweka Mchanga pembeni ili kuzuia Maji ya sabuni yanayotokana na Kumwaga na mafundi wa Viatu wakati wakimaliza kuosha viatu vya wateja wao.
Hapa akitoa maelezo juu ya Kupunguza matawi kwenye miti ili iweze kukua vizuri na kustawi kama ambavyo alivyokutwa na kamera ya Lukaza Blog hapo Jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)