TCRA YATOA VYETI KWA MABLOGER WAHITIMU WA MAFUNZO YA SIKU MBILI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TCRA YATOA VYETI KWA MABLOGER WAHITIMU WA MAFUNZO YA SIKU MBILI DAR

 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao  wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, yaliyoanza jana Septemba 17 na kumalizika leo jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha wamiliki wa magazeti tando (blogs) mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof John Nkoma akimkabidhi Cheti Mmiliki wa Blog ya Lukaza, Josephat Lukaza mara baada ya kumaliza mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), mafunzo ambayo yalianza jana Septemba 17 na kumalizika leo Septemba 18 jijini Dar Es Salaam
  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao wa Bongo Celeblate, Jeff Msangi, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza jana Septemba 17 na kumalizika leo jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mabloger mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.
 Othman Michuzi, akipokea cheti.
 Shamim Mwasha, akipokea cheti.
 Cathbert Kajuna, akipokea cheti...
 Dj Choka, akipokea cheti.
 Maxence Melo, kipokea cheti.
 Sinta, akipokea cheti.
 Mmiliki wa Mtandao wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akiwa na mmiliki wa Mtandao wa Bongo Celeblate, Jaff Msangi, wakati wa semina maalum kwa wamiliki na waendeshaji wa mitandao pendwa Bloggers, iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, iliyoanza jijini Dar es Salaam, jana ambayo imemalizika rasmi leo. 
 Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.
 Innocent Mungy wa TCRA, akizungumza wakati wa mafunzo hayo.....
 Jestina george, akichangia mada
 Jeff Msangi, akichangia mada.
 Maxence, akichangia mada.
 Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada...
 Sehemu ya waliohudhuria semina hiyo...
 Mafunzo yakiendelea 
 Mike Mushi, wa jamii forum, akitoa mada
 Mabloger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.
 Mtoa mada, Dotto Kuhenga, akitoa mada
 Mtoa mada, Pili, akitoa mada
picha ya pamoja baada ya mafunzo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages