TASWIRA MBALIMBALI ZA BAADHI YA SEHEMU ZA MITAA YA JIJI LA DAR LEO MCHANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

TASWIRA MBALIMBALI ZA BAADHI YA SEHEMU ZA MITAA YA JIJI LA DAR LEO MCHANA

IMG_1243
Sehemu ya Barabara ya kuelekea Mbagala ikiwa imekwanguliwa ili kuijenga upya baada ya ujenzi wa awali kuwa ni wa magumashi
IMG_1256
IMG_1259
IMG_1265
IMG_1268
Trafik akitoa neno hapo kuonyesha kuwa kaguswa na kitendo cha mmoja wa dereva wa canter
IMG_1270
IMG_1276
IMG_1278
Watoto wa Mitaani wakiwa wanabadilishana mawazo mara baada ya kutoka kuomba kwenye moja ya daladala lililokuwa kwenye foleni kwenye mataa ya maktaba kuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages