Mh. Lowassa aendesha Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT Wilayani Kahama,Zaidi ya Sh. Mil. 212 zapatikana - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mh. Lowassa aendesha Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT Wilayani Kahama,Zaidi ya Sh. Mil. 212 zapatikana

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Wachungaji Mapambano Jacob na Charles Lugembe wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.Kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dayosisi ya Shinyanga,Dkt. John Kanon Nkola.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini,wakati alipokuwa akiwasili kwenye kanisa hilo kwa ajili ya kuendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi wa ya Kanisa hilo.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata utepe na kufungua pazia katika jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya Ufunguzi rasmi wa Jengo la Madarasa ya Shule ya awali ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo baadae aliendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi wa ya Kanisa hilo
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendesha Harambee ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo zaid ya Shilingi Milion 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea Michango Mbali Mbali kutoka kwa Marafiki zake.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea zawadi ya kitabu cha Mungu (Biblia) kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Dayosisi ya Shinyanga,Dkt. John Kanon Nkola mara baada ya kuendesha Harambee ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo zaidi ya Shilingi Milion 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages