KINANA AJILIPUA BUNDA,HAYUKO TAYARI KUONA WATENDAJI WA SERIKALI WANAIANGUSHA (CCM) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KINANA AJILIPUA BUNDA,HAYUKO TAYARI KUONA WATENDAJI WA SERIKALI WANAIANGUSHA (CCM)

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Busega Ndugu Paul Mzindakaya wakati alipowasili Wilaya ya Serengeti kata ya Nzugu Mkoani Mara akitokea Wilaya Busega Mkoa mpya wa Simiyu na kuanza ziara ya siku 6 katika mkoa wa Mara akianzia Wilaya ya Bunda mkoani humo, Kinana amekagua miradi mbalimbali katika jimbo la Mwibara na Bunda na kufanya mkutano wa hadhara mjini Bunda akikemea watendaji wa serikali ambao hawataki kuwajibika badala yake wamekalia kuvaa suti, kung'ang'ani vikao huku kujilipa posho na kuwa "Mamangimeza" badala ya kuwatumikia wananchi jambo ambalo Chama cha Mapinduzi ambacho ndiyo kimeiweka serikali madarakani hakitakubali badala yake kitawawajibisha watendaji hao kukinusuru chama cha Mapinduzi, Kinana amesema yuko tayari kujilipua ili kutetea wananchi na Chama cha Mapinduzi CCM ili kurudisha heshima ya chama kama Mwalimu alivyokiacha. 5Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wabunge deo Filikunjombe wa jimbo la Ludewa na Kangi Lugora wa jimbo la Mwibara. 6Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kuwasili Sereneti leo
10Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akicheza na wananchi waliokuwa wakiimba nyimbo za kumkaribisha katika kijiji cha Namibu katika jimbo la Mwibara. 8Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugora mara baada ya kuwasili katika jimbo la Mwibara. 7Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mh Waziri Steven Wasira wakati alipotembelea mradi wa maji katika kijiji cha Nyabeho wilayani Bunda. 6Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na watendaji wa chama hicho mkoani Mara. . Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana aki 10Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia ngoma wakati alipowasili katika kijiji cha Nabiru jimbo la Mwibara11Hili ndiyo jengo linalojengwa la Chuo Cha Veta huko Mwibara13Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kujenga jengo hilo la Veta Mwibara mkoani Mara14Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na Ndugu Nape Nnauye katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi wakinawa mikono baada ya kushiriki katika maendeleo ya elimu 27Umati wa wananchi wakiojitokeza katika mkutano huo uliofanyika Stendi mjini Bunda.28Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwahutubia wananchi mjini Bunda29Katibu wa Itikadi,Siasa na Uenezi akizungumza na wananchi wa jimbo la Bunda leo30Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Bunda leo20Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimnog"oneza jambo Mbunge wa jimbo la Ludewa.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-BUNDA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages