KESI YA MAMA HATARI WA DAWA ZA KULEVYA YAAHIRISHWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KESI YA MAMA HATARI WA DAWA ZA KULEVYA YAAHIRISHWA


Mwanaidi Mfundo (aliyejifunika) akitolewa mahakamani na kupelekwa mahabusu.... BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»

Mshitakiwa namba mbili katika kesi hiyo naye akirudishwa mahabusu.
...Akipakizwa kwenye gari.
...Ulinzi mkali.

Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili mwanamama hatari Mwanaidi Mfundo na wenzake, leo ilikwama kuendelea na hatua ya ushahidi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya upande wa Jamhuri kuiomba mahakama hiyo kuiahirisha ili ikawaweke sawa mashahidi wake. Hata hivyo upande wa utetezi kupitia wakili John Mapinduzi na wenzake walipinga kuahirishwa kesi hiyo lakini baada ya malumbano makali wakili hao na Jaji aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Grace Mwakipesile walikubaliana kuahirisha kesi hiyo mpaka kesho. (PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages