KANALI ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA MKOANI SIMIYU, LEO YUKO MASWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KANALI ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA MKOANI SIMIYU, LEO YUKO MASWA

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kusalimiana na wananchi Wilayani Maswa mara baada ya kuwasili akitokae Shiyanga, ambapo anaendelea na ziara yake ya kuimarisho chama kukagua miradi ya maendeleo na katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama hicho ambapo leo baada ya shughuli mbalimbali atawahutubia wananchi mjini Maswa Mkoa mpya wa Simiyu jioni hii.  3Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi , Siasa na Uenezi akishiriki kuchanaganya mchanga wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokagua ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ghami Kata ya Nyalikungu Wilayani Maswa. 5 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi ujenzi wa zahanati ya Ghami Katika kata ya Nyalikungu. 6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua tofali alilolifyatua wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa zahanati hiyo. 7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua akizungumza na wananchi wakati alipokagua mradi wa ujenzi wa Zahanati katika kijiji cha Ghami Kata ya Nyalikungu Wilayani Maswa. 8 9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha ya pamoja na wanaCCM wa shina la Komalija mjini Maswa mara baada ya kuongea nao. 10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa shina la muungano Wilayani Maswa.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MASWA SIMIYU)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages