Meneja Mawasiliano kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Innocent Mungi akitoa mada wakati wa semina ya siku mbili inayohusisha wamiliki wa magazeti tando (Blogs) kwenye semina iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Dr Raynold C Mfungahema mkurugenzi wa watumiaji na watoa huduma kutoka TCRA akitoa akielezea mada juu ya Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii katika semina inayohusisha wamiliki wa Magazeti Tando (Bloggers) na wasimamizi wa tovuti
Joe Musheru CEO wa kampuni ya Google katika Ukanda wa Afrika akitoa mada kwenye semina inayoendeshwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania itakayofanyika kwa siku mbili ikuhusisha Wamiliki wa Magazeti tando au Blog na wasimamizi wa tovuti hapa nchini
Joe Musheru .CEO wa Google kanda ya Afrika (hayupo pichani) akielezea mabadiliko ya teknolojia kwa kulinganisha na mabadiliko ya Binadamu wa kale kama ambavyo inaonekana katika picha kwenye Semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ikuhusisha Wamiliki wa Magazeti tando au Bloggers na wasimamizi wa tovuti
Rais wa Google Afrika Joe Musheru akitoa mada kwa wamiliki wa magazeti tando au bloggers na wasimamizi wa tovuti kwenye semina inayohusisha wamiliki wa blogs na wasimamizi wa tovuti kwenye semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Baadhi ya Washiriki waliohudhuria katika semina ya siku mbili innayoendeshwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) katika semina inayofanyika leo na kesho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)