.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais na mtendaji mkuu wa
African Barrick Gold Bwana Greg Hawkins na kufanya naye mazungumzo. Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na mtendaji
Mkuu wa African Barrick Gold Bwana Greg Hawkins(wapili kushoto) ikulu
jijini Dar es Salaam leo.kushoto ni Afrisa mwandamizi wa African Barrick
Gold Bwana Deo Mwanyika(Picha na Freddy Maro).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)