NBC YAZINDUA HUDUMA YA MAWASILIANO YA PAPO KWA PAPO KWA WATEJA WAO (Hotline Service) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

NBC YAZINDUA HUDUMA YA MAWASILIANO YA PAPO KWA PAPO KWA WATEJA WAO (Hotline Service)

 Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Maharage Chande akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya papo kwa papo (Hotline Service) kati ya mteja wa benki hiyo na maofisa wa benki nhuduma itakayopatikana ndani ya matawi ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Maharage Chande (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha benki hiyo, Jane Dogani (kushoto), wakifurahia wakati mmoja wa wateja wao, Amin Juma (katikati) akijibiwa swali alilouliza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Meneja Mahusiano wa NBC Tanzania, Eddie Mhina akiongoza shughuli za uzinduzi wa huduma ya Hotline Service ya Benki ya NBC katika Tawi la Corporate jijini Dar es Salaam. Huduma hiyo pia kwa sasa inaweza kupatikana katika  matawi ya benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages