MANCHESTER CITY YAIMOMONYOA 4-0 NEWCASTLE: SILVA, AGUERO, TOURE NA NASRI WAMUANZISHA MAISHA MAZURI PELLEGRINI ETIHAD - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MANCHESTER CITY YAIMOMONYOA 4-0 NEWCASTLE: SILVA, AGUERO, TOURE NA NASRI WAMUANZISHA MAISHA MAZURI PELLEGRINI ETIHAD

High five! Yaya Toure and David Silva were both on the scoresheet as Manchester City cruised past NewcastleNipe tano jembe! Yaya Toure na David Silva wote wamefunga katika mchezo wa leo dhidi ya  Newcastle
No chance: Fabricio Coloccini and Tim Krul watch on helpless as Silva's header hits the back of the netHamuwezi, mimi fundi: Fabricio Coloccini na Tim Krul wakiwa hawana la kufanya wakati mpira wa kichwa uliopigwa na  Silva ukitikisa nyavuni
Off the mark: Sliva's (right) goal was his first in the Premier League with his headHesabu mbovu: Sliva  (kulia), bao lake la kwanza ligi kuu England amefunga kwa kichwa msimu wa 2013/2014
Doubled: Sergio Aguero fired Manchester City 2-0 ahead with a clinical finish in the 22nd minuteBao la pili: Sergio Aguero alipiga shuti kali na kuifungia Manchester City  bao la pili katika dakika ya 22
High-flying: Aguero celebrates his strike midway through the first halfKaruka juu mno: Aguero akishangilia bao lake
Seeing red: Steven Taylor was sent off after a collision with Aguero late in the first halfKadi nyekundu: Steven Taylor alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi Aguero mwishoni mwa kipindi cha kwanza 
Clothesline: Taylor caught Aguero with his left arm while going up for a header
No 4: Samir Nasri completed City's rout in the 75th minute with an excellent finish 
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com

MAKAMU bingwa wa ligi kuu soka nchini England, Manchester City wameanza maisha mapya chini ya kocha Manuel Pellegrini kwa ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Newcastle waliocheza wakiwa pungufu baada ya Steven Taylor kupewa kadi nyekundu dakika ya 45 katika dimba la  Etihad  usiku huu.

Steven Taylor alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kwa mkono wake Aguero akiwa karibu na mwamuzi wa mchezo huo Andre Marriner.

Mabao ya Manchester City yamefungwa na David Silva dakika ya 6, Sergio Kun Aguero dakika ya 22, Yaya Toure dakika ya 54 na Samir Nasri katika dakika ya 74.
 
Bao la nne:  Samir Nasri alimaliza kazi dakika ya 75
Kikosi cha Man City: Hart, Zabaleta, Kompany (Javi Garcia 71), Lescott, Clichy, Jesus Navas, Toure, Fernandinho, Silva (Negredo 80), Aguero (Nasri 62), Dzeko.
Wachezaji wa akiba: Milner, Kolarov, Rodwell, Pantilimon.
Waliopata kadi: Dzeko, Fernandinho.

Magoli: Silva 6, Aguero 22, Toure 50, Nasri 75.
Kikosi cha Newcastle: Krul, Debuchy, Steven Taylor, Coloccini, Yanga-Mbiwa, Sissoko, Tiote, Gutierrez (Anita 44), Ben Arfa (Sammy Ameobi 65), Cisse, Gouffran (Dummett 45).
Wachezaji wa akiba: Elliot, Marveaux, Shola Ameobi, Obertan.
Kadi nyekundu: Steven Taylor (45).
Kdi za njano: Yanga-Mbiwa, Sissoko, Debuchy.
Mashabiki: 46,842
Mwamuzi: Andre Marriner (W Midlands).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages