MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA GURUMO BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA GURUMO BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI

Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Shabani Dede.
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Mustafa Pishuu.
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu pamoja na Mustafa Pishuu 
Wasanii Hamisi Mnyupe kushoto na Romani Mng'ande wakiwajibika jukwaani.picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages