Mkutano wa Hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya Chadema MJINI SONGEA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mkutano wa Hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya Chadema MJINI SONGEA


Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu, akiwahutubia wananchi wa mji wa Songea, katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya chama hicho, kujadili rasimu ya katiba mpya, uliofanyika mjini Songea.
  Mmoja wa wakazi wa mji wa Ludewa, Thadey Ngairo, akitoa maoni yake kuhusu katiba mpya, mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe Freeman Mbowe, wakati wa mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya chama hicho wa kujadili katiba mpya mjini Ludewa.Picha na Joseph Senga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages