Luis Suarez amezidi kupata vizingiti vikubwa katika harakati zake za kutaka kuhama Liverpool, baada ya kuambiwa na mmiliki wa Liverpool John Henry warning: “Huendi popote”.
Mmiliki huyo wa Liverpool amesema kwamba ni upumbuvu kuanza hata kufikiri kufanya biashara na Arsena ya mshambuliaji huyo wa Uruguay. Presenting the club’s position on the Suarez saga, the American calmly explained he will refuse to bow to player pressure if it damages the interests of the football club in any way.
Na mmarekani huyo amesema kwamba kitendo alichokifanya Suarez kilivuka mipaka, huku akisisitiza kwamba mshambuliaji huyo hatouzwa kwenda klabu yoyote mpaka dirisha la usajili litakapofungwa September 2 - pia akisema uamuzi wa kutokumuuza Surez hautokani na masuala ya fedha. Henry alisema: “Hatuwezi kumuuza Luis. Ni kwa sababu za kisoka kabisa, na sio masuala ya fedha.
“Hii ni kwasababu mpaka sasa ni vigumu kupata mchezaji wa kuziba pengo lake kwa maana wachezaji wazuri wote wameshahama. Hivyo ni sababu za kisoka, hatuwezi kumuuza - hasa kwa klabu ya Arsenal.
“Kuwauzia mahasimu wetu mchezaji huyu utakuwa ni upumbavu kabisa."CHANZO:SHAFFIH DAUDA BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)