MABONDIA WAPIMA TAYARI KUZIPIGA IDD MOSI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MABONDIA WAPIMA TAYARI KUZIPIGA IDD MOSI

Baadhi ya umati wa mashabiki waliojazana katika ofisi za TPBO Tandika wakishudia mabondia wao wakifanyiwa vipimo vya mwisho kwa ajili ya mchezo
 dr madono akimpima francis miyeyusho huku ibrahim kamwe `bigright`akishuhudia upimaji huo.tayari kwa pambano lake na mzambia fidelis lipupa
 FIDELIS LIPUPA wa Zambia NA FRANCIS MIYEYUSHO waTanzania wakiwa katika pozi baada ya upimaji afya na uzito kwa ajili ya pambano lao litakalopigwa mbagala dar live idd mosi
 FIDELIS LIPUPA wa Zambia NA FRANCIS MIYEYUSHO waTanzania
Ramadhan kido akipima afya yake katika ofisi za TPBO kwa ajili ya pambano lake dhidi ya chupaki chupindi wa iringa litakalopigwa ndani ya dar live siku ya idd mosi.

Mabondia Francis miyeyusho amewaongoza  mabondia waTanzania katika upimaji wa pambano lake dhidi ya bondia Fidelis lipupa kutoka Zambia katika pambano la kirafiki la kimataifa,linalotarajiwa kupigwa hapo kesho katika ukumbi wa dar live.
Zoezi zima la upimaji liliongozwa na katibu mkuu wa ngumi za kulipwa Ibrahim kamwe  akisaidiwa na dr madono . mabondia karibu wote waliopima wapo vizuri kwa mapambano yao wakati francis miyeyusho amepata kilogram 55.5 mpinzani wake fidelis lipupa amepata 56 .Ramadhan kido wa dare s salaam amepata  kilo 89.7 na mpinzani wake kupata 90.2 .pia kutakuwepo na mapambano mengine manne ya utangulizi na  mabondia wameuwiana vema na wale kina dada esther  na  lulu watazichapa kama kawaida  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages