Mdau Fredy Anthony Ala Nondoz ya MBA-Multimedia Marketing katika chuo kukuu cha Multimedia nchini Malaysia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mdau Fredy Anthony Ala Nondoz ya MBA-Multimedia Marketing katika chuo kukuu cha Multimedia nchini Malaysia


Mdau Fredy Anthony ambaye ni Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Group , akiwa Nje ya ukumbi wa Dewan Tun Canselor Mara baada kupata shahada yake ya pili (Master of Business administration - Multimedia Marketing) katika Chuo kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia.
Mdau Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages