Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetangaza kutoa donge nono la shilingi milioni 100/= kwa mtu yeyote atakayewezesha kupatikana kwa taarifa za kundi la uhalifu linalojihusisha na vitendo vya kuwamwagia na kuwadhuru watu kwa tindikali.
Kamanda wa Polisi Kanda hiyo, Suleiman Kova amesema: “Nimeamua kuomba fedha hizi serikalini ili nimpe mtu atakayewezesha kupatikana kwa taarifa hizo, hatimaye kukomesha vitendo hivi. Kemikali hii imekuwa na madhara makubwa.”





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)