DK.Shein afanya Mabadiliko katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

DK.Shein afanya Mabadiliko katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi

IMG_3062 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.

IMG_3071 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haji Omar Kheir,kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar. IMG_3083 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haroun Ali Suleiman, kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar. IMG_3092Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Zainab Omar Mohamed,kuwa Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana  Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages