Mtaalamu wa kufunga: Nyota wa Arsenal, Olivier Giroud, kushoto, akiandika kimiani bao la kwanza kwa Arsenal
Kikosi
cha Arsenal: Szczesny 4; Sagna 5 (Podolski 90), Koscielny 5,
Mertesacker 5, Gibbs 5 (Jenkinson 28, 5); Wilshere 6, Ramsey 5, Rosicky
6; Walcott 6, Chamberlain 6 (Cazorla 46, 5); Giroud 6.
Wachezaji wa Akiba: Fabianski, Frimpong, Gnarby, Sanogo.
Villa: Guzan
7, Lowton 7, Vlaar 7, Baker 6 (Clark 17, 7), Luna 7; El Hamadi 7,
Westwood 7, Delph 8; Agbonlahor 7, Weimann 8 (Bacuna 88); Benteke 8
Wachezaji wa Akiba: Steer, Okore, Helenius, Bowery, Tonev.
Mchezaji bora wa mech: Benteke
Mwamuzi: Anthony Taylor – 4
Wachezaji wa Akiba: Steer, Okore, Helenius, Bowery, Tonev.
Mchezaji bora wa mech: Benteke
Mwamuzi: Anthony Taylor – 4
Giroud akishangilia bao lake
Anaokoa: Kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny akiokoa penati ya Benteke.
.….Lakini Benteke alitingisha nyavu tena kwa njia ya kichwa
Mchezaji
wa Arsenal, Kieran Gibbs akiwa amelala chini baada ya kugongana na
mchezaji wa Villa, Andreas Weimann na kupata majeraha
Hii
Balaa: Santi Cazorla, Per Mertesacker na Wojciech Szczesny hawaamini
kama mwamuzi wa mchezo Anthony Taylor anawazawadia penati ya pili Villa.
Aaaah! ndio nameshajileta maneno tena: Wenger akionekana amekata tamaa wakati wa mechi hiyo
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com na soccerstand.com
KOCHA Arsene Wenger ameanza vibaya ligi kuu soka nchini England dhidi ya Aston Villa ambapo mshambuliaji Christian Benteke amefunga mabao mawili kwa njia ya penati zilizokuwa na utata katika ushindi wa mabao 3-1.
Gunners walikuwa wa kwanza kuandika bao kupitia kwa Olivier Giroud dakika ya 6, lakini dakika ya 22, Benteke aliisawazishia bao hilo Ason Villa kwa njia ya mkwaju wa penati.
Mwamuzi wa mchezo huo, Anthony Taylor aliwazawadia Villa penati hiyo baada ya kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny kumfanyia madhambi Gabriel Agbonlahor.
Mkwaju huo wa Benteke uliokolewa na kipa Szczesny, lakini nyota huyo raia wa Uholanzi alifuta makosa baada ya kuuzamisha kwa njia ya kichwa mpira huo na kuandika bao kimiani. Dakika ya 62, Benteke aliandika bao la pili kwa mkwaju mwingine wa penati na kumpasua kichwa Wenger ambaye mpaka sasa hajafanya usajili wowote wa maana majira haya ya kiangazi.
Antonio Luna aliandika bao la tatu katika dakika ya 85 na kuipa ushindi timu yake.

MATOKEO MENGINE YA MECHI ZA LEO
England: Premier League
Finished
|
|
1-0 |
Stoke
|
(1-0) | ||||||
Finished
|
|
2-0 |
Cardiff
|
(1-0) | ||||||
Finished
|
|
0-1 |
Fulham
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
|
2-2 |
Everton
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
|
1-3 |
Aston Villa
|
(1-1) | ||||||
Finished
|
|
0-1 |
Southampton
|
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)