Nyani amezoeleka kuonekana kwenye misitu lakini hii ni jambo la kushangaza
kwa wapita njia baada ya dereva wa bodaboda kumpakiza nyani huyo kama abiria katika bodaboda kama alivyonaswa na mpiga picha wetu.Picha Kwa Hisani ya Idd Azzan Blog
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)