Uganda wanaongeza bao la tatu.
Uganda wanazidi kutawala mchezo jambo ambalo linaweza likawa tatizo kwa Tanzania.
Brian Majwega ndio mfungaji wa bao la Uganda.
Uganda wanapata bao la pili. Dakika ya 3 kipindi cha pili.
Uganda wanapata penati baada ya mchezaji wa Stars kushika mpira ndani ya boksi
Kipindi cha pili kimeanza.
Mpira mapumziko - Uganda 1-1 Tanzania
Frank Domayo anaumia anaingia Simon Msuva.
Zimeongezwa dakika mbili za nyongeza.
Dakika ya 45 kipindi cha kwanza matokeo bado yanasoma 1-1.
Wafungaji wa mabao ni Kalanda Frank upande wa Uganda na Amri Kiemba upande wa Tanzania.
Via Shaffih Dauda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)