RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUA GATI MPYA YA ABIRIA MJINI MALINDI ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUA GATI MPYA YA ABIRIA MJINI MALINDI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar jana mchana (kushoto) Sheikh  Said Salum  Bakhresa.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipta maelezo kutoka kwa mfadhili wa Kampuni ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa,wakati alipotembelea ukumbi wa VIP,na Business Class,katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar jana mchana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alitembelea sehemu mbali mbali katika ikiwemo IMMIGRATION DEPARTURES pamoja na Viongozi aliofuatana nao baada ya kugungua Bandari ya Abiria katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar.
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa  Injinia Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamad,(katikati) wakati alipotembelea sehumu ya Kuegeshea Meli ya Mizigo katika sherehe za  ufunguzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo mchana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waalikwa katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya  ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo.mchana,(kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundimbinu Issa Haji Ussi (Gavu) Harison Mwakiembe Waziri wa Miundombinu Bara,na Sheikh Said Salum Bakhresa (kulia). Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages