RAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKAMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

RAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKAMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA


bk3
Rais Jakaya  Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera  waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya  mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.
bk4
Rais Jakaya Kikwete baada ya kutawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera akiwa na  kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
bk7
Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
bk6
Omukama Kikwete akihutubia wananchi Missenyi
bk8
 Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama  (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera.  Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages