MKURUGENZI WA BODI YA WAKURUGENZI VETA KANDA YA DAR ES SLAAM,CHARLES PHILOMON ATEMBELEA BANDA LA VETA KUJIONEA SHUGHULI ZA CHUO HICHO, KATIKA MAONESHO YANYOENDELEA TANTRADE DSM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MKURUGENZI WA BODI YA WAKURUGENZI VETA KANDA YA DAR ES SLAAM,CHARLES PHILOMON ATEMBELEA BANDA LA VETA KUJIONEA SHUGHULI ZA CHUO HICHO, KATIKA MAONESHO YANYOENDELEA TANTRADE DSM

01Mkurugenzi wa bodi wa VETA kanda ya Dar es Salaam, Charles Philimon  akimsikiliza kwa makini Mwalimu wa VETA Diptoma Program katika taaluma ya ubunifu wa nguo na mavazi Ben Moris  wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia ni  Meneja wa rasmali watu  wa VETA Joyce Rweyemamu.
02 Mkurugenzi wa bodi wa VETA kanda ya Dar es Salaam, Charles Philimon  akiangalia moja ya suti iliyobuniwa na wanafunzi wa VETA Chang’ombe    wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia ni  Meneja wa rasmali watu  wa VETA Joyce Rweyemamu na Kushoto ni mwanafunzi wa Diploma ya ubunifu wa nguo wa chuo hicho Paulin Emmanuel ambeye ndiye aliyeshona suti hiyo. 03Mkurugenzi wa bodi wa VETA kanda ya Dar es Salaam, Charles Philimon  akionyeshwa moja ya pochi   na m wanafunzi wa VETA Chang’ombe  Angle Mbele  wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam.Kulia ni  Meneja wa rasmali watu  wa VETA  Joyce Rweyemamu na Kushoto ni mwanafunzi wa Diploma ya ubunifu wa nguo wa chuo hicho Paulin Emmanuel ambeye ndiye aliyeshona suti hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages