GARI LA MBAO LAWA KIVUTIO KIKUBWA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA YA 2013 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GARI LA MBAO LAWA KIVUTIO KIKUBWA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA YA 2013

 Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar wakilitazama gari la mbao ambalo lipo katika banda la Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Sabasaba ambayo yanaendelea katika viwanja hivyo barabara ya kilwa
Muonekano wa Gari hilo la Mbao
 Muonekano wa Mbele wa gari hilo la Mbao lililopo katika Banda la Maliasili na Utalii
Wakazi wa Jiji la Dar Na vitongoji vyake wakilitizama gari lililotengenezwa na Mbao katika Maonyesho ya Sabasaba ambapo gari hilo lipo katika Banda la Maliasili na Utalii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages