GARI LA KAMPUNI YA MAZIWA YA TANGA FRESH LANUSURIKA KUPINDUKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM, RAIA WAJIKINGIA MAZIWA BILA UOGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GARI LA KAMPUNI YA MAZIWA YA TANGA FRESH LANUSURIKA KUPINDUKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM, RAIA WAJIKINGIA MAZIWA BILA UOGA

SONY DSC Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa  leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo.
SONY DSC SONY DSC
Kila siku tunanunua: Ustadhi naye akijipatia maziwa bila kujali yana usalama au hapana
SONY DSC SONY DSC
Jeshi la polisi likiwa kwenye eneo la tukio.
SONY DSC
Kichwa chenye namba za usajili T 787 AFX lilobeba kontena la maziwa likiwa pembeni ya barabara mara baada ya kuacha njia likitokea Mkoani Tanga.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages