Hii ndio Keki ya Zuberi na Kassimu
Zuberi akimlisha Keki Mdogo wake Kassimu ikiwa ni ishara ya kushukuru na kufurahia siku yao ya kuzaliwa hapo jana
Kassimu akiwa na familia yao hapo jana wakati wa kusherehekea siku ya kuzaliwa yeye na kaka yake zuberi hapo jana.
Lukaza Blog inawatakia maisha mema na yenye mafanikio
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)