Ujumbe wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania TMF watembelea ofisi za Changamoto - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ujumbe wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania TMF watembelea ofisi za Changamoto


Afisa Uhakiki wa Miradi ya Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania(Tanzania Media Fund) TMF.Sanne Vanden Barg akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wa magazeti ya Changamoto na The Football wakati ujumbe wa TMF ulipotembelea katika ofisi za Ladyband zilizopo mtaa wa Daima Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Miradi wa TMF Alex Kanyambo na Kushoto ni Naibu Mhariri Mtendaji wa Gazeti hilo Samson Kamalamo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages