Waziri
wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe. William Lukuvi
akipata maelezo kutoka wa Josephine Mwakapugi kuhusu huduma zipatikanazo
katika simu za kiganjani za TTCL “SMART PHONE” pamoja na punguzo kubwa la bei ya Intarnet kwa simu zenye waya na zisizotumia waya “wireless”. Waheshimiwa wabunge wakipata maelezo kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano.
Naibu
waziri wa Nishati na madini Mheshimiwa Steven Masele akiweka saini
katika kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo kuhusu huduma
mbalimbali zitolewazo na TTCL.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)