TASWIRA KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) KAMA ZINAVYOONEKANA KATIKA PICHA HAPO CHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) KAMA ZINAVYOONEKANA KATIKA PICHA HAPO CHINI

Mbele ya Jengo La Ofisi ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
 Moja ya Eneo la Kuegesha Magari lililopo mbele ya jengo la utawala la Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
 Vyumba Vya Madarasa vilivyopo Katika Kitivo Cha Sayansi ya Jamii
 Hosteli za wanafunzi wa Kitivo Cha Mawasiliano ya Kompyuta na Kitivo Cha Sayansi ya Jamii kama zinavyoonekana katika picha
 Madarasa katika Kitivo Cha Sayansi ya Jamii
Vyumba vya Mihadhara Vya kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na lugha cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
 Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kama linavyooneka katika Picha
Kwa Mbali eneo la Benki kama linavyoonekana huku Upande wa Kulia ni Benki ya NMB na Kushoto ni Benki ya CRDB
 Mmiliki na Mwendeshaji Mkuu wa Lukaza Blog , Josephat Lukaza Mbele ya Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) mara baada ya kumaliza kaz iliyonipeleka Chuoni Hapo ya Kuchukua Vyeti Vyangu mwisho mwa Wiki.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages