Baadhi
ya Wakazi wa Jiji Wakitoa heshima zao za Mwisho kabla mwili wa marehemu
Albert Mangwea haujasafirishwa kupelekwa Mkoani Morogoro Kwaajili ya
Mazishi hapo kesho
Vilio na kupelekea kudondoka
Polisi Jamii kikosi Cha Mbwa na Farasi wakiwajibika na kuhakikisha amani na usalama unaendelea kuwepo katika viwanja vya leaders
Polisi Jamii akihakikisha hakuna zengwe linalotokea
Dj Choka Akihojiwa na Kituo Cha Runinga cha EATV
Hii ndio Kamati nzima ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea
Sehemu ya Wanakamati wa Mazishi ya Albert Mangwea Wa Pili Kushoto ni Lady Jay Dee, Prof Jay na Said Fella.
KWA MAPICHA ZAIDI BOFYA HAPA





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)