JK akutana na watanzania waishio Singapore - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK akutana na watanzania waishio Singapore

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Watanzania waishio Singapore na Balozi wa Tanzania nchini humo na India, Injinia John Kijazi alipokutana nao leo katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Nchini humo kuna familia nne za Kitanzania ambao wote wanafanya kazi za kuajiriwa
 Rais Kikwete akiongea na Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Watanzania waishio Singapore baada ya kuongea nao leo. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini humo na India

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages