GAPCO YAZINDUA PROMOSHENI YA RELSTAR OIL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

GAPCO YAZINDUA PROMOSHENI YA RELSTAR OIL

IMG_5300
Wasanii wa kikundi cha Bombeso Cruw wakitoa burudani wakati wa promosheni ya ya Relstar Oil inanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco Eneo la mwembe yanga Dar es salaam kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi
IMG_5276
Mkuu wa Mafuta ya Gapco Bw. Suraj Vikash akizungumzia promosheni hiyo
omary
Wasanii wa kikundi cha Bombeso Cruw wakitoa burudani wakati wa promosheni ya ya Relstar Oil yanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco Eneo la mwembe yanga Dar es salaam kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi
twende
Wasanii wa kikundi cha Bombeso Cruw wakitoa burudani wakati wa promosheni ya ya Relstar Oil yanayotengenezwa na Kampuni ya Gapco kutoka kushoto ni Omar Salimu Halima Masoud na Jafari Halawi picha na BURUDANI BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages