Nyimbo hii imeimbwa na T.I.D akimshirikisha mkali wa Kughani Jay Mo ndio nyimbo iliyomuweka kwenye ramani ya muziki miaka sita iliyopita na kumfanya afahamika kwenye game la muziki. Nyimbo hii ilibamba mno na kupelekea vijana wengi kuiga staili ya uchezaji ya T.I.D aliyokuwa akicheza kwenye video hiyo, Staili hiyo ilipendwa na kila mtu hadi watoto wadogo
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)