Mkuu wa kitengo cha mikopo midogo na ya kati, Filbert Mponzi akitoa mada kwa wajasiliamali iliyohusu umuhimu wa kuandika mchanganuo wa biashara kwa mjasiliamali.
Sehemu ya wajasilia mali wanaowezeshwa na benki ya NMB wakifuatilia maada zilizoendeshwa wakati wa semina hiyo.
Bw. Harun Manyama Ungura mwenyekiti wa Mwanza Business Club akifafanua jambo katika mafundisho hayo. Mkuu
wa kitengo cha Akaunti Binafsi NMB, Abdulmajid Nsekela akielezea huduma
ambazo mteja wa NMB anafaidika nazo mara awapo na akaunti na NMB
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)