Hii ni moja ya nyimbo iliyopendwa na wadau wengi wa mziki wa bongo fleva iliyoimbwa na Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya kipindi hiko King Crazy Gk akimshirikisha Pauline Zongo ambaye walikua wakitoka kwenye Kundi la East Coast Team. Nyimbo hiyo inayoitwa Sister Sister ilikua inabamba ile kinoma ilikua haipiti siku bila kuchezwa kwenye vituo vya redio na runinga mara tano au zaidi kwa siku. GK upo wapi Rudi tumemiss Vitu hivi adimu kutoka kwako.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)