Waratibu wa Susan G. Komen wakiongea jambo na kuwashukuru wote kwa kufika kwa matembezi ya Susan G. Komen. yaliyofanyika Jumamosi May 11, washington, DC.
Mdogo wa Susan G. Komen akiongea jambo
Josh akiongea jambo n[ kwa niaba na mama mlezi wake (kushoto) ambae ni mnusurika wa Saratani.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Idd Sandaly akibadilishana kadi ya biashara na mmoja ya washiriki wa matembezi ya Susani G. Komen.
Baadhi ya washiriki wa timu Tanzania.
Wanusurika wa saratani katika picha ya pamoja.
Timu Tanzania katika picha ya pamoja
Wakina baba kutoka timu Tanzania ambao walikua wawili tu kama unavyowaona katika picha kushoto ni Pius Mtalemwa akiwa na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Bwn. Idd Sandaly.
Timu Tanzania katika picha ya pamoja.
Bendera zkiwakilisha nchi washiriki kwenye matembezi ya Susan G. Komen.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)