Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Mahusiano Biashara ya Serikali NMB, Domina Feruzi cheti kama ishara ya shukrani kwa benki ya NMB kwa kuwa mdhamini mkuu wa Mkutano Mkuu wa 29 wa Wajumuia za Tawala za Mitaa Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akishuhudia kadi ya Chapchap baada ya kupata maelezo kutoka kwa Afisa wa NMB Balthazar Clemence wakati wa mkutano wa 29 wa Wajumuia za Tawala za Mitaa Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Maafisa wa benki ya NMB alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa mkutano wa 29 wa Wajumuia za Tawala za Mitaa Tanzania uliofanyika mwishoni jijini Arusha








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)