Ajali mbaya YA piki piki yatokea asubuhi hii buguruni rozana, Dar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ajali mbaya YA piki piki yatokea asubuhi hii buguruni rozana, Dar


 Ajali mbaya imetokea asubuhi hii ikihusisha pikipiki na daladala hii ambazo zilikutana uso uso lakini Kwa BAHATI nzuri dereva wa pikipiki Hiyo (mwenye helmet chini) alipona baada ya kuruka kwenye pikipiki na pikipiki kuharibika vibaya baada ya kukanyagwa na gari. Picha kwa hisani ya mwanaharakati mzalendo blog. Ajali za aina hii zimekuwa nyingi mno jijini Dar es salaam na kwengineko kufuatia wimbi kubwa la bodaboda kila mahali na uendesshaji usiofuata sheria
 Balaa asubuhi
 Askari wa trafiki wakiwa kazini baada ya ajali hiyo, huku dereva wa pikipiki akisubiri pembeni
 Dereva wa pikipiki aliyenusurika
Polisi jamii na wasamaria wema wakijaribu kuinasua pikipiki uvungumi mwa daladala.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages