Mwili
wa Marehemu Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu Ofisi ya Bunge umewasili
nchini kutoka Malaysia ambako alikuwa akisoma hadi umauti ukamkuta.
Heshima za mwisho zitatolewa leo tarehe 30 Mei, 2013 nyumbani kwake Dar
es Salaam, Ubungo-Kibangu kuanzia saa tano asubuhi Jeneza lenye mwili wa marehemu Ernest Zulu likiwa kanisani wakati wa ibada ya kumwombea Mke wa marehemu Zulu (aliyefunga mkono) akiwa kanisani Watoto wa marehemu Zulu wakiomboleza kifo cha baba yao mpendwa Maandalizi ya ibada ya Misa takatifu ya kumwombea marehemu Waomboleza kwenye msiba wa marehemu Ernest Zulu
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Home
Unlabelled
MWILI WA AFISA HABARI MKUU WA OFISI YA BUNGE WAWASILI NCHINI
MWILI WA AFISA HABARI MKUU WA OFISI YA BUNGE WAWASILI NCHINI
Share This
About Josephat Lukaza
Subscribe to:Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Lukaza Blog is a resources blog providing high quality articles with premium topics and well drafted. The main mission of Lukaza Blog is to provide the best quality articles which are relevance, original, truth and education materials designed and perfectlly to deliver best result for your knowledge and understanding of new things.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)