MBAGALA BY DIAMOND NYIMBO ILIYOBAMBA MIAKA 3 NYUMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MBAGALA BY DIAMOND NYIMBO ILIYOBAMBA MIAKA 3 NYUMA

Nyimbo hii ndio nyimbo iliyomuweka Diamond kwenye ramani ya Muziki na kumfanya aonekane kuwa ana kipaji na uwezo wa Kuimba.Nyimbo hii ni moja ya nyimbo ambazo imemfanya Diamond Kujulikaza na kupelekea Mbagala Kuwa Juu kutokana na Nyimbo hii kubamba vilivyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages