Waziri wa `
Ujenzi John Magufuli akisoma hotuba ya bajeti ya Wazara yake, Bungeni
Mjini Dodoma, May 13, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah
Kigoda, Bungeni Mjini Dodoma May 13, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bukene, Selemani Zedi kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma May 13,2013.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)