
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu, wakati akimkaribisha
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Mei 13, 2013 alipofika
kwa mazungumzo akiwa ameongozana na mkewe, Je-Ynung.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mchungaji Dkt. Mathew Byamungu na mkewe, Bi. Je-Ynung Byamungu, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Mei 13, 2013 kwa mazungumzo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)