MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA 'DEMOCRATIC USA' IKULU DAR LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA 'DEMOCRATIC USA' IKULU DAR LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na David Wilhem (katikati) kutoka Democratic USA, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu kwa mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni mmoja kati ya walioongozana na ujumbe huo, Michael Granger.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Democratic USA, kuanzia (Kulia) kwa Makamu ni David Wilhem, Michael Granger, Chris Bulinger na mwenyeji wao, Dastan Mrutu, kutoka Business Council, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Democratic USA, kuanzia (Kulia) ni David Wilhem, Chris Bulinger, (kulia kwa Makamu) ni Michael Granger, na mwenyeji wa ujumbe huo, Dastan Mrutu, kutoka Business Council, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages