Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma LEO

Baaadhi wabunge wakiingia katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Utaribu na Bunge  William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa (kushoto) akizungumza jambo na  baadhi ya wabunge wa CHADEMA ambao ni   Peter  Msigwa, David  Silinde , Joseph Mbilinyi  , Makongoro  Nyerere  Ezekhia   Wenje  nje ya kumbi wa Bunge mjini  Dodoma leo.
Waziri wa Afya na   Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein  Ali  Mwinyi akiwa katika  picha ya pamoja na  baadhi ya viongozi kutoka Sauti ya Walemavu ,aliyevaa  fulana nyeupe ni  Alex Mhando mjini Dodoma  leo.Picha zote na Magreth  Kinabo  - MAELEZO DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages