KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

IMG_1926Naibu Waziri wa Nishati na Madini  Mhe. Simba Chawene akizungumza jambo na mbunge wa Mtwara mjini  mhe. Hasnain Murji IMG_1932Mbunge wa Peramiho  Mhe. Jenista Muhagama  akizungumza na Mhe. Ally Kessy (Mb. Mpanda Kaskazini) katika kikao cha bunge leo. IMG_1979Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo akilionyesha bunge moja ya michoro ya miradi mbalimbali ya umeme  wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti  Bungeni  leo. IMG_1990Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mathias Chikawe akiangalia moja ya michoro ya mradi wa umeme wakati bajeti ya Nishati na Madini ikiwasilishwa Bungeni leo. IMG_2033 Mbunge wa Ubungo  Mhe. John Mnyika akisoma hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni ya Nishati na Madini leo IMG_4284Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malechela akichangia hoja katika hotuba ya bajeti ya Nishati na Madini. PICHA NA ZAWADI MSALLA-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages