KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

IMG_1585
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara  akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Sera na Mipango  Gasper Mwembezi  wa wizara hiyo.
IMG_1596
Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee (CHADEMA ),pamoja na Mhe. Ester Bulaya (Viti Maalumu-CCM)) wakiingia bungeni leo. IMG_1604 
Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na Manaibu Waziri kutoka Wizara mbalimbali wakisikiliza michango ya wabunge wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
IMG_1625
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhe. Adam Malima akijibu  maswali ya wabunge bungeni leo. IMG_1656
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe. wasira akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo leo.
IMG_3844
Mhe. Michael Leizer (Longido),Mhe.Rita Kabati (Viti maalumu CCM) na Mhe. Deogratius Ntumazina(Ngara) wakiingia bungeni leo. IMG_3920 
Wabunge wakitoka katika ukumbi wa bunge baada ya kipindi cha asubuhi kumalizika

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages