Prof Jay
The heavy weight MC Proj Jay, aka Dady, Joseph Haule akipokea Kadi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Muda mfupi uliopita Mjini Dodoma Mara baada ya kujiunga rasmi na Chadema
Muda si mrefu msanii maarufu hapa Bongo Profesa Jay (Joseph
Haule) amejiunga na Chama Cha Demokrasi na Maendeleo huko Dodoma na amekabidhiwa tiketi ya chama cha CHADEMA rasmi na Mbunge wa Mbeya Joseph
Mbilinyi aka Sugu huko Dodoma.
Na taarifa za Chini ya Kapeti zinasema kuwa Lady Jay Dee pamoja na Mumewe Gadner G Habash nao wamejiunga na Chama Hicho Cha Chadema.Tunazidi kutafuta habari hizi za lady Jay Dee na Mumewe kujiunga na Chadema na tutataarifiana kadri tunavyozidi kuzipata
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)