KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

 Mbunge wa  Viti  Maalum- CHADEMA Chiku  Abwao akitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
  Waziri wa  Nchi Ofisi  ya  Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akizungumza jambo na Mbunge  wa Viti Maalum –CCM  lediana Mng’ong’o wakati wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Utaribu na Bunge  William Lukuvi (kushoto) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa,  akizungumza jambo na Mbunge wa Jimbo la  Kigoma Kusini, David Kafulila – NCCR Mageuzi, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Picha na Magreth Kinabo-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages