MIMI NASHANGAA SANA JUU YA SERIKALI PALE BIFU ZINZPOKOTEZEA
KWA RUGE BASI UHINGILIA KATI KUTAFUTA SULUU KWA KWELI KUNAACHA
MASWALI MENGI. KWA MTAZAMO WA KIUNGWANA NI NI JAMBAO JEMA SANA WALAKINI
YANGU KWA NINI IWE KWA RUGE TU AWALI WAZIRI NCHIMBI AKIWA NAIBU WA
WIZARA YETU
YA HABARI UTAMADUNI,VIJANA NA MICHEZO A AMEINGILIA KATI
JAMBO LA RUGE NA MBILINYI (SUGU) NA SASA TUNASIKIA RUGE NA LADY J DEE SERIKALI IMEINGILIA KATI MAONI WENGI MBONA KUMBUKA ASHA BARAKA WA TWANGA PEPETA NA
MAMAA WA MASHUJAA HATA TAFF NA
BONGO BOVIE, VIKUNDI VYA TAARABU NI BAHADHI TU LAKINI WENGI WAPO WALIKUWA KWENYE MVUTANO MKALI LAKINI
ASERIKALI IKIWA KIMYA
USHAURI WANGU HATUA HIYO NZURI SANA KULETA AMANI KWA WASANII
LAKINI IWE KWA WOTE BILA KUBAGUA WATATUE INAPOTEA MIGOGORO HATA YA
KIMASLAI PIA KUONDOA DHANA KUWA RUGE ANAPENDELEWA SERIKALI MADHALA
YAKE KWA HISIA HIZO NI KUBWA SANA,KUSIPO ZIBA UFA KUTAJENGA UKUTA
TUCHUKUE HATUA SASA, MAANA SISI NDIO TUPO KARIBU NA WASANII MUDA
MWINGI
TUNAWAMBUSHA SERIKALI JUU YA UMUHIMU WATOA HUDUMA SAWA KWA
WOTE BILA KUJALI UMAARUFU WA MSANII KWA KUANZISHA DAWATI LA HUDUMA KWA WASANII ITASAIDIA SANA
MIMI
CHE MUNDUGWAO
MWENYEKITI- CHAMA CHA MUZKI ASILI TANZANIA NA
MJUMBE WA BODI SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA
MKURUGENZI WA USHIRIKIANO- SHIRIKISHO LA MU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)